24.2 C
Dar es Salaam
Saturday, July 20, 2024

Contact us: [email protected]

Navy Kenzo wala shavu la Airtel

Navy KenzoNA VERONICA ROMWALD

PRODYUZA Nahreel na mpenzi wake, Haika wanaounda kundi la Navy Kenzo, wameteuliwa kuwa mabalozi wa huduma mpya ya ‘Jipimie Yatosha Yako’¬†inayotolewa na kampuni ya simu ya mikononi ya Airtel.

Huduma hiyo mpya imezinduliwa jana jijini Dar es Salaam katika ofisi za makao makuu ya kampuni hiyo yaliyoko Morocco.

Akifafanua juu ya huduma hiyo, Meneja Masoko wa Airtel, Anethy Muga, alisema itamuwezesha mteja wa mtandao huo kuchagua kifurushi anachokitaka.

“Mteja atapiga *149*99# na kuchagua namba 5 kisha ataamua ajiunge na kifurushi cha ujumbe mfupi,¬† muda wa maongezi au bando kwa ajili ya intaneti au vyote kwa pamoja hadi Sh 500 kwa siku, wiki au mwezi atachagua tofauti na awali ambapo alikuwa akipata vyote kwa pamoja,” alisema Anethy.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles