26.9 C
Dar es Salaam
Monday, December 9, 2024

Contact us: [email protected]

MZOZO WA MAKINIKIA BADO

Na MwandishiWetu

-DAR ES SALAAM

MZOZO wamakinikiaambaoumewaletapamojakwenyemajadiliano, kamatimaalumuiliyoundwanaRais Dk. John MagufulinawawakilishiwaKampuniyaBarrick Gold Corporation inayochimbamadinihapanchini, badohaujamalizika.

WakatileoikielekeakutimiamwezimmojatangumajadilianohayoyalipotangazwakuanzanaIkuluyaRaisMagufuli, ukimyamkubwawakinachoendeleabadoumeendeleakutawala.

Katikamawasilianoambayo MTANZANIA JumapiliimeyafanyakwanyakatitofautinaupandewaSerikalinaulewa Acacia Mining ambayoBarricknimmiliki wake mkubwa, imebainikakuwahatimayamajadilianohayobadohaijajulikanakutokananamazungumzokuendelea.

Takribani wiki mojailiyopitagazetihilililifanyamahojianona Acacia kupitiabaruapepenaikathibitishakuendeleakwamazungumzohayo.

LughakamahiyoilitolewapiajananaMkurugenziwaKitengo cha MawasilianoIkulu, GersonMsigwa, ambayealisisitizakuwamazungumzoyakimalizikawatatoataarifa.

“Mazungumzobadoyanaendelea, yakikamilikatutatoataarifa,” alisemaMsigwa.

AlipoulizwakamawataalamuwaBarrickwanaoshirikimazungumzohayobadowaponchinialisisitiza: “Ndiyomaananimesemamazungumzobadoyanaendelea.”

Pamojana Acacia kukirikuendeleakwamazungumzohayo, katikamahojianonagazetihili, walionekanakufichamajinanawasifuwawataalamuwaowanaoshirikimazungumzohayokutokananaupandewaSerikaliya Tanzania piakufanyahivyo.

Itakumbukwawakatimazungumzohayoyanaanza, taarifailiyotolewanaIkuluiliambatananapichayawataalamuhaowaBarrick, huku wale wa Tanzania wakibakikuwasiri – zaidiwakielezwakuongozwanaWaziriwaKatibanaSheria, Profesa

Maswaliyagazetihiliambayoyalijibiwana Dickson Senziambayealijitambulishakamamshaurimwenzawa Acacia yalikuwakamaifuatavyo:

MTANZANIA Jumapili: TunatakakufahamumazungumzokatiyaKampuniyaBarrick Gold Cooperation naSerikaliya Tanzania yamefikiawapi. Je, yanaendelea au yamekwama? Kama yamekwamanikwasababuzipi?

Acacia: TunatambuakuwamazungumzohayayamekwishaanzanayanashirikishawajumbekutokaupandewaKampuniyaBarricknaSerikaliya Tanzania. Wakatihuuambapomazungumzohayoyakiwayanaendelea, Acacia inaendeleakuendeshashughulizakehukutukiendeleakushirikiananawadaunawafanyakaziwetukwaukaribuzaidi.

MTANZANIA Jumapili: Kama mazungumzoyanaendelea, leohiinizaidiya wiki mbilikimyakimetawala, pengineninisababuyakimyahicho?

Acacia: TunatambuakuwamazungumzohayayamekwishaanzanayanashirikishawajumbekutokaupandewaKampuniyaBarricknaSerikaliya Tanzania. Wakatihuuambapomazungumzohayoyakiwayanaendelea, Acacia inaendeleakuendeshashughulizakehukutukiendeleakushirikiananawadaunawafanyakaziwetukwaukaribuzaidi.

MTANZANIA JUMAPILI: UkilinganishanauzoefuwamigogoroyaainahiyokatikamaeneoambayoBarrickama Acacia imefanyauwekezaji je, mazungumzohayakwaupandewa Tanzania mnadhaniyanawezakuchukuamudaganikufikiamakubalianoamakumalizika?

Acacia: Kama inavyofahamikanaummawotewaWatanzania, mazungumzohayayamekwishaanzanayanashirikishawajumbekutokaupandewaKampuniyaBarricknaSerikaliya Tanzania. Ni matumainiyetukuwayatamalizikakwawakatikwamasilahiyapandezotezinazohusika.

MTANZANIA Jumapili: kwauzoefuwanchikama Dominica ambakokampuniyenuilikuwanamgogorounaofanananahuu, iliwachukuamiakatakribanimitatukukamilika, kwaupandewa Tanzania mnadhanimnawezakufikahuko?

Acacia: Ni matumainiyetukuwamazungumzokatiyaSerikaliya Tanzania naKampuniyaBarrickyatamalizikakwawakatikwamasilahiyapandezotezinazohusika.

MTANZANIA Jumapili: Je, wale wanaoshirikimazungumzohayoniakinanani?

Acacia: Jopo la BarricklinaongozwanaOfisaUendeshajiMkuuwaKampuni, Richard Williams.

MTANZANIA Jumapili: ZipotaarifakwambabaadhiyaWatanzaniawanaoshirikimazungumzohayowamelazimikakuhamamakaziyao, hilinalomnalizungumziaje?

Acacia: Hatuwezikulizungumziasualahilikwanilinahusuwashirikiwaupandewapiliwamazungumzo.

MTANZANIA Jumapili: Mlipokeajetaarifazakudaiwadolabilioni 190? IkitokeaSerikaliya Tanzania pamojanamazungumzoyanayoendeleaikawaimeshikiliamsimamo wake, mtalipadenihilo?

Acacia: Kuhususuala la kodi, tulitoataarifakwavyombovyahabariikielezamtazamowetujuuyajambohilo. Tunaaminikuwanjiayamazungumzoninjiastahikinaitasaidiakupatikanakwamwafakautakaonufaishanakulindamasilahiyapandezotembili.

MTANZANIA Jumapili: Baadayadeni la Shtrilioni 424 ambalo TRA imesemainawadai, mmechukuahatuagani?

Acacia: Kama tulivyoelezahapoawali, Acacia badoinapitiahakizakezamsinginaitatoataarifahapobaadaekuelezeahatuaambazoitaamuakuchukua.

 

SAKATA LA ACACIA

Itakumbukwasakata la Acacia lilianzaMachi, mwakahuubaadayaRaisMagufulikuzuiausafirishajiwamchangawamadini – makinikianjeyanchi.

 

Makontena 277 yaliyokuwabandarinikusubirikupelekwanjekuyeyushwa, yalizuiwanabaadayeRaisMagufulikuundakamatikuchunguzakiwango cha madinikilichokuwakatikamchangahuo.

Acacia inadaikuwakiwango cha dhahabukilichomokwenyemchangahuonitakribanasilimia 0.3, lakinikamatiiliyoundwanaRaisMagufuliilisemanimarakumiyakilekilichotangazwanawawekezajihaokutoka Canada.

Matokeoyauchunguzihuowakamati, yalimfanyaRaisMagufulisitukutenguauteuziwaWaziriwaNishatinaMadini, ProfesaSospeterMuhongonaviongoziwengine, balipiakupelekamuswadawasheriabungeni, ambayosasainaipamamlakaSerikalikufanyamazungumzoupyanakampunizamadininapiakuongezamrabahakutokaasilimiannehadisita.

Kamatiyapiliiliibukanamatokeoyaliyoonyeshakuwa Tanzania imepotezazaidiyaShtrilioni 108 kwakusafirishamchangahuokwamiaka 20.

Hatahivyo, Acacia imekataakuzikubaliripotizakamatizotembili, ikisemahaikushirikishwanakwambakamatihizohazikuwahuru.

Acacia imekuwaikisisitizakuwauchunguzihuohaukufanywanakamatihurunahivyokutakaiundwekamatihurukufanyauchunguzihuo.

HatamazungumzoyasasayanayoendeleakatiyaSerikalinaBarrick, lengonikutafutamwafakawasualahilo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
592,000SubscribersSubscribe

Latest Articles