26 C
Dar es Salaam
Monday, March 4, 2024

Contact us: [email protected]

Mwingine avuna million 1 kwa dau la 250 tu ndani ya Betika!

Huku Betika mambo ni moto wala hayapoi,  kutoa mamilionea ndio kazi yetu na sasa mshindi mwingine ameibuka kidedea akijichukulia kiasi cha Sh 1,000,000 kupitia Jackpot ileile rahisi zaidi ya Kitonga.

Mshindi wa sasa anatoka Kanda ya kati Dodoma akifahamika kwa jina la Jordan Mwombeki Felix ambaye jamaa ametumia kiasi cha Sh 250 tu kutengeneza pesa ndefu ya Sh 1,000,000 akicheza kirahisi.

 Ushindi wa Jordan umezidi  kutanua rekodi ya washindi kupitia Kitonga deile Jackpot.  Jordan ameungana na washindi  wengine akiwa mshindi wa 31 kushinda mkwanja huo  akitanguliwa na wengine 30 waliopatikana ndani ya mwezi Januari pekee.

Pesa bado ipo ya kutosha,  wewe ambaye hujashinda hujachelewa cheza sasa Kitonga Deile Jackpot uchukue chako mapemaaa Utengeneze pesa ndefu kwa dau la  sh 250 tu.

Unachotakiwa kufanya ingia sasa katika tovuti yetu ya www.betika.co.tz ukifika hapo gonga pale palipoandikwa Kitonga deile Jackpot kisha chagua mechi zako ambazo ni 8 tu na ushindi ni halali yako.

Usisite kuwasiliana nasi kwa maelezo zaidi kuhusu Kitonga deile Jackpot na huduma zetu zingine kutoka Betika kupitia namba 0659070700.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
584,000SubscribersSubscribe

Latest Articles