25.2 C
Dar es Salaam
Tuesday, February 27, 2024

Contact us: [email protected]

Mwana Fa: Kulalalala kunanipa akili

MWANAFANA RHOBI CHACHA
MWANAMUZIKI Hamis Mwinyijuma ‘Mwana FA’ amethibitisha kwamba amelazimika kununua kitanda kidogo kwa ajili ya kulalia kila anapohisi hali ya usingizi bila kujali muda.
Mwana Fa alijieleza hivyo baada ya mwandishi wa habari hii kumshtukia akiwa anasinzia mara kwa mara katika mikusanyiko ya watu.
Mwana Fa alidai tabia hiyo ya kulala mara kwa mara humsaidia kupumzisha akili yake katika utungaji wa nyimbo zake.
“Si utani ‘best’ yaani mie napenda kweli kulala na ndiyo maana nyumbani kwangu nina kitanda ‘spesho’ cha futi tatu ili nisilale na mtu mwingine pindi ninapohitaji kusinzia kwani napenda kupumzika ili akili nyingine iingie kichwani,” alifafanua Mwana FA.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
583,000SubscribersSubscribe

Latest Articles