Barnaba, Stamina watikisa Moro

0
1472

barnabaNA LILIAN JUSTICE, MOROGORO
WASANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Elias Barnaba, Rich Mavoko, Golden Mbunda ‘Godzilla’ na Boniventura Kabobo ‘Stamina’, juzi walipagawisha katika tamasha la pongezi kwa Mbunge wa Jimbo wa Morogoro Mjini, Abdulaziz Abood, lililofanyika Uwanja wa Jamhuri.
Katika hotuba yake, Abood aliahidi kuunganisha wasanii wa kizazi kipya ili watumie sanaa yao kutoa burudani na elimu kwa mashabiki wao.
Abood aliongeza kwamba, tukio hilo limempa faraja kwa kutambulika juhudi zake kwa jamii anayoiongoza.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here