23.6 C
Dar es Salaam
Saturday, May 18, 2024

Contact us: [email protected]

Msami: Mimi nilianza kabla ya Mesen Selekta

msamiNA MWANDISHI WETU

MKALI wa kunengua, Msami amesema kwamba yeye ndiye aliyeanza staili inayofanywa na msanii mwenzake, Mesen Selekta na kuchanganya mashabiki wao wasijue nani alimuiga mwenzake.

“Mimi ndiye mwanzilishi wa staili ya muziki wangu ambao nachanganya vitu vingi na muziki tofauti kwa lengo la kuwezesha wanenguaji kucheza kwa uhuru na Mesen naye anafanya muziki kama huu, lakini nilianza mimi kabla hajatoa wimbo wake hivyo mimi ndiye mwanzilishi wa staili ya muziki huu,’’ alijinadi Msami.

Muziki wa wasanii hao umekuwa ukifanana kwa vionjo vyake tofauti yao kubwa ni sauti na unenguaji wao ambapo Msami hutumia wanenguaji wengi na kucheza zaidi kuliko Mesen Selekta ambaye ni prodyuza wa muziki.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles