MO MUSIC: Muziki wangu unajiuza

0
1477

11075035_1563915640564145_1787121838512661055_nNA MAULI MUYENJWA

MSANII wa Bongo Fleva, Moshi Katemi ‘Mo Music’ amesema muziki wake unajiuza wenyewe na kumpa umaarufu na mkwanja kitu kinachomfanya asitumie skendo kupushi game yake.

Akipiga mastori na Swaggaz, Mo Music alisema kumekuwa na uvumi kuwa amezama kwenye dimbwi zito la mapenzi
na mwandishi wa habari kwenye moja ya redio maarufu hapa mjini kitu ambacho hakina ukweli.

“Sijawahi kuwa na mpenzi mwanahabari, ingawa nafahamiana na wengi ambao tumefahamiana kwa ajili ya kazi
tu, kiukweli uvumi kama huo unaniharibia sifa yangu ya kutotegemea skendo kupushi muziki wangu,” alisema Mo Music.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here