MSAMI: Tekno hana maringo

0
1274

msamiNA CHRISTOPHER MSEKENA

MSANII na mkali wa kudance Bongo, Msami Baby amesema nyota wa wimbo wa Duro, Tekno hana maringo kama
walivyo mastaa wengine wanaliofanikiwa.

Akichonga na Swaggaz, Msami alisema kolabo yake na Tekno ilichukua muda mchache kukamilika kutokana na
msanii huyo kutoka Nigeria kutokuwa na mashauzi ambayo yangechelewesha ngoma yao.

“Audio na video tulifanya kwa muda mfupi sana, haikuchukua muda kila kitu kilikwenda sawa, siku chache
zijazo ngoma hiyo itadondoka kitaa so washkaji na mashabiki wa muziki mzuri wakae tayari,” alisema Msami Baby.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here