26.2 C
Dar es Salaam
Wednesday, April 17, 2024

Contact us: [email protected]

Mkinge mtoto na matumizi ya vileo

father-and-son-drinking-dreamstime_m_24191880_0

A AZIZA MASOUD,

FAMILIA  nyingi wamekuwa zikiingia katika migogoro  kutokana na vijana wao kuingia katika matumizi ya madawa ya kulevya.

Jamii imekuwa ikijikita zaidi katika  kulaumiana mara baada ya mtoto kuingia katika matumizi ya madawa hayo  bila kujali kuwa  malezi ya mtoto husika yanaweza yakawa chanzo cha matumizi ya madawa hayo.

Matumizi ya madawa ya kulevya ni magonjwa kama yalivyo magonjwa mengine  ambayo yanatokana na upungufu  wa baadhi ya kemikali pamoja uraisi wa upatikanaji wa madawa,matatizo ya ya kifamilia pamoja na upungufu wa elimu.

Kutokana na mazingira hayo wataalam wanaona  kinga ni rahisi kuliko  tiba hivyo mzazi unapaswa kumfundisha mtoto madhara ya dawa kabla ya kufika miaka 13 au 14 kwakuwa atakuwa ameshachelewa.

Watumiaji wengi mwa madawa huanza kwa kutumia pombe kuanzia miaka tisa mpaka kumi wakati wale wanaonaza kuanzia miaka mitano au sita wengine wao hupata ruhusua ya wazazi hapo ndipo  badae wanatamani kutumia vilevi zaidi kwakuanza kutumia unga.

Njia za kumfanya mtoto asijiingize katika matumizi ya dawa za kulevya

Jifunze kumuunga mkono mtoto

Ukiwa kama mzazi unapaswa kuwa mstari wa mbele kumuunga mkono katika kila hatua chanya  za kimaisha ambazo anazifanya  mwanao kama akipata alama nzuri shuleni,michezo na vitu vingine anavyovipenda.

Hakikisha marafiki au ndugu wanakujua kuwa wewe unamawazo chanya kwa mwanao,usitegemee walimu,marafiki au watu wengine waunge mkono tabia nzuri ya mwanao.

Kama mtoto ameanza kutumia madawa wanapaswa kukuunga mkono kwa matibabu kwa hali na mali,hakikisha  mtoto wako anajua utakuwa huko kumridhisha moyo wake kiasi.Endapo atafanya vizuri pia kuna haja ya kumpa zawadi kama simu za mkononi, nguo , nk, mpaka wao ni kweli chuma .

Mulemishe mtoto matokeo ya vitendo hasi

Mzazi anamsaidia mtoto  ubongo wake kujenga maana ya  matendo mazuri na mabaya kwa sababu ni moja ya nguzo yenye mamlaka kwa mtoto.

Wazazi wamekuwa wakiuliza muda wote utafanya nini kama mtoto wako atakosea,na sisi tuliwauliza mzazi wako.

Jifunze kujua alama za mtu anayeanza kutumia vileo.

Hakikisha kila unapomuona mwanao anaonyesha tabia za tofaauti unamuuliza na kukupa maelezo ya kutosha,Unatakiwa uwe wa kwanza kumgundua mtoto wako akiwa anatumia vileo  badala ya kusubiri kutambuliwa na walimu,daktari au mamlaka nyingine.

Kama hauna uhakika na dalili za matumizi ya vileo hakikisha jaribu kuonja kileo ili uwe mwalimu mzuri.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles