26.2 C
Dar es Salaam
Friday, October 15, 2021

Miquissone rasmi Al Ahly

Cairo, Misri

ACHANA na kelele zote ulizosikia, ukweli ni kwamba Al Ahly wamethibitisha rasmi kumsajili winga wa kimataifa wa Msumbiji aliyetokea Simba SC, Luis Miquissone.

Miquissone alihusishwa na Al Ahly kwa miezi kadhaa, pia zikaibuka taarifa zisizo rasmi kwamba nyota huyo ataibukia kwa wapinzani wakubwa wa Simba, Yanga SC.

Ifahamike kuwa Miquissone anakuwa mchezaji wa pili kutua Al Ahly hivi karibuni, pia ni mwanasoka wa kwanza kutoka Msumbiji kutinga uzi wa Waarabu hao wa Misri.

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
161,753FollowersFollow
521,000SubscribersSubscribe

Latest Articles