26.9 C
Dar es Salaam
Tuesday, December 5, 2023

Contact us: [email protected]

Mendy ana kesi ya ubakaji

London, Uingereza

BEKI wa kushoto wa Manchester City, Benjamin Mendy, ameingia matatani baada ya kufunguliwa mashitaka manne ya ubakaji na moja la unyanyasaji wa kingono.

Katika hilo, mabosi wa Man City wamemsimamisha Mfaransa huyo mwenye umri wa miaka 27 ili kupisha uchunguzi wa polisi juu ya madai hayo.

Mendy anayeichezea pia timu ya taifa ya Ufaransa, anashikiliwa na polisi kwa sasa akitarajiwa kupanda mahakamani kesho.

Itakumbukwa kuwa Mendy alitua Man City mwaka 2017 akitokea Monaco, huku usajili wake ukigharimu Pauni milioni 52.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
580,000SubscribersSubscribe

Latest Articles