28.4 C
Dar es Salaam
Thursday, February 22, 2024

Contact us: [email protected]

Milioni 11 alizolipwa marehemu zarejeshwa na Takukuru

Na Ramadhani Hassan, Dodoma

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Dodoma imefanikiwa kurejesha Serikalini zaidi ya shilingi milioni 11 ambazo zililipwa zililipwa kwenye akaunti ya benki ya mtumishi marehemu kama mshahara kuanzia Oktoba 13, 2013 hadi Machi 2016 kinyume cha utaratibu.

Haya yameelezwa leo, Desema Mosi, jijini hapa na Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Dodoma Sostenes Kibwengo alipokuwa Akizungumza na Waandishi wa Habari.

Kibwengo amesema ufuatiliaji wa Takukuru Wilaya ya Kondoa umewezesha fedha hizo kupatikana.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
583,000SubscribersSubscribe

Latest Articles