24.2 C
Dar es Salaam
Thursday, April 25, 2024

Contact us: [email protected]

Meridianbet Yazindua Duka Jipya la Kubetia Posta-Jamhuri

Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii  https://a.meridianbet.co.tz/c/xdodhv

Ukiambiwa Meridianbet ni kubwa hapa Tanzania unaelewa? Basi kama huelewi ni hivi leo hii imezindua duka la kubetia mtaa wa Jamhuri Posta kwaajili ya kuwarahisishia wakazi wa eneo hilo kubeti kwa urahisi wakiwa dukani hapo kwa kuchagua machaguo wayapendao na Meridianbet kuwapatia.

Meridianbet inaendelea na haitashia hapo kuwaletea maduka kibao kila eneo hapa Dar es salaam kwaajili yenu kwani wateja wao ndio wafalme na bila nyie hawawezi kuendesha shughuli zao. Basi endelea kutumia Meridianbet kufanya ubashiri mechi zako wikendi hii mechi kibao zitachezwa viwanja mbalimbali.

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Meridianbet kama kaulimbiu yao isemavyo Chagua Tukupe, wanazidi kujipambanua kila kona ya Tanzania wanazidi kuchanja mbuga na kuteka soka la kubeti wakiwa na michezo mingi ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Roullette, Sloti na mchezo wa Aviator ambao watu wengi hatakama hujui mpira unaweza kuucheza.

Martina Nkurlu ambaye ni mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano  ndani ya Meridianbet amesema kuwa wanataka kuendelea kuwavuta watu wengi zaidi hapa Tanzania kutumia Meridianbet kwenye shughuli zao za ubashiri kwani wao ni bora kwenye kila idara kuanzia kwenye ODDS KUBWA mpaka machaguo zaidi ya 1000.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Wakazi wa Jamhuri Posta wamefurahi sana kwa ujio wa duka hilo jipya la kubeti ambalo limezinduliwa hii leo na Meridianbet  kwani litawasaidia kwenye shughuli zao za kubetia kila siku kabla ligi hazijamalizika na mashine hizo zitawafaa kipindi chote mpaka ligi itakapoanza.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles