27.2 C
Dar es Salaam
Tuesday, April 23, 2024

Contact us: [email protected]

Mendy apewa tuzo Senegal

DAKAR, Senegal

MLINDA mlango wa Chelsea, Edouard Mendy, ametwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa Senegal, ambayo hutokana na kura za waandishi wa habari nchini humo.

Mendy ameibeba tuzo hiyo akiwapiku wakali wengine wanaokipiga Ligi Kuu England; Sadio Mane (Liverpool) na Ismaila Sarr (Watford).

Ukiwa ni mwezi mmoja umebaki kabla ya kuanza kwa fainali za Afcon, kipa huyo ameibuka kidedea baada ya kujikusanyia kura 321, akifuatiwa na Mane (99) na Sarr (61).

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles