33.2 C
Dar es Salaam
Friday, March 29, 2024

Contact us: [email protected]

May ajiuzulu uongozi wa Conservative

WAZIRI Mkuu wa Uingereza Theresa May, ameachia rasmi uongozi wa chama tawala cha Conservative hatua inayofungua mlango wa kinyang’anyiro cha mrithi wa nafasi hiyo.

 May hakuhutubia umma lakini aliwasilisha barua ya kuthibitisha kujiuzulu kwake kwa kamati ya chama chake ijulikanayo kama kamati ya 1922. 

May ataendelea kuwa waziri mkuu hadi wabunge watakapomchagua kiongozi mpya wa chama hicho mchakato utakaouchukua hadi miezi miwili.

Waziri wa zamani wa mambo ya nje Boris Johnson anapewa nafasi kubwa ya kushinda nafasi hiyo. 

Waziri Mkuu May alitangaza kujiuzulu nafasi hiyo Mei 24 baada ya kushindwa kufanikisha makubaliano ya Uingereza kujiondoa Umoja wa Ulaya ama Brexit.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
585,000SubscribersSubscribe

Latest Articles