22.2 C
Dar es Salaam
Monday, September 25, 2023

Contact us: [email protected]

Banana Zorro, Ashura Kitenge kutumbuiza Australia

BOSI wa B Band, Banana Zorro na Ashura Kitenge, wanatarajia kufanya maonyesho mawili makubwa nchini, Australia,  wakisindikizwa na bendi maarufu ya Milford Music huko Crown  Towers Perth na Coventry Perth.

Akizungumza na Swaggaz jana, Banana Zorro alisema: “Jumamosi (leo) tutakuwa kwenye hoteli ya nyota tano Crown na Jumatano ijayo tutatumbuiza Coventry Perth, haya ni maonyesho yaliyoandaliwa na taasisi isiyo ya kiserikali ya Rafiki Surgical ili kuchangisha fedha kwaajili ya kugharamia madaktari wa kujitolea na kununua magari ya wagonjwa zaidi ya 15 kwenye hospitali mbalimbali Tanzania.”

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,717FollowersFollow
574,000SubscribersSubscribe

Latest Articles