Matukio kwa picha kutoka DAWASA

0
527

Mafundi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) wakiendelea na kazi ya uchimbaji wa mitaro pamoja na kulaza mabomba ya inchi 2 kwa umbali wa mita 150 katika eneo la Minondo wilaya ya Kigamboni.

Kukamilika kwa Kazi hiyo kutapelekea upatikanaji wa huduma ya maji kwa kaya takribani 20 za eneo hilo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here