27.7 C
Dar es Salaam
Monday, February 26, 2024

Contact us: [email protected]

Kwa picha: NMB yakabidhi vifaa vya michezo kwa Baraza la Wawakilishi

Spika wa Baraza la wawakilishi, Zuberi Ali Maulid akipokea vifaa vya michezo kutoka kwa Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Zanzibar, Abdallah Duchi vilivyotolewaa na Benki hiyo kwa ajili ya mchezo wa soka na Mpira wa wavu kwa timu ya Baraza la wawakilishi na timu ya NMB itakayochezwa kesho kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 57 ya Mapinduzi. Kushoto ni Nahodha wa timu ya NMB, Richard.

Spika wa Baraza la wawakilishi, Zuberi Ali Maulid akipokea vifaa vya michezo kutoka kwa Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Zanzibar, Abdallah Duchi vilivyotolewaa na Benki hiyo kwa ajili ya mchezo wa soka na Mpira wa wavu kwa timu ya Baraza la wawakilishi na timu ya NMB itakayochezwa kesho kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 57 ya Mapinduzi. Kushoto ni Nahodha wa timu ya NMB, Richard na kulia ni Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni na Meneja Msaidizi wa timu ya Baraza la wawakilishi Sports Club, Nassoro Salim Ali

Spika wa Baraza la wawakilishi, Zuberi Ali Maulid akipokea jezi kutoka kwa Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Zanzibar, Abdallah Duchi vilivyotolewaa na Benki hiyo kwa ajili ya mchezo wa soka na Mpira wa wavu kwa timu ya Baraza la wawakilishi na timu ya NMB itakayochezwa kesho kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 57 ya Mapinduzi.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
583,000SubscribersSubscribe

Latest Articles