Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe, akitoa maelezo kwa Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira ilipotembelea Mamlaka ya Maendeleo Tanzania (TanTrade).
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo Tanzania (TanTrade), Latifah Mohamed Khamis akitoa maelezo kwa Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira walipotembelea ofisi za mamlaka hiyo zilizopo viwanja vya Mwalimu JK Nyerere.