33.9 C
Dar es Salaam
Tuesday, February 27, 2024

Contact us: [email protected]

Aweso atembelea wakala wa Visima na Mabwawa(DDCA)

Waziri wa Maji, Jumaa Aweso akizungumza jijini Dar es Salaam leo Machi 3, 2021 wakati wa mkutano na wafanyakazi wa Wakala wa Uchimbaji Visima na Ujenzi wa mabwawa (DDCA) wakati wa ziara yake ya kikazi katika ofisi za Wakala wa Maji na usafi wa mazingira vijijini (RUWASA).Kulia ni Meneja wa Uchimbaji, Peter Mdalangwila na Mkuu wa Chuo cha Maji, Dk Adam Karia.
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso akikagua mitambo ya uchimbaji visima wakati wa ziara yake katika Wakala wa Uchimbaji Visima na Ujenzi wa mabwawa (DDCA) kabla ya kuzungumza na wafanyakazi wa Wakala wa Maji na usafiri wa mazingira vijijini (RUWASA).-
- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
583,000SubscribersSubscribe

Latest Articles