HomeAfya na Jamii Afya na JamiiKitaifa Aweso atembelea Wakala wa Visima na Mabwawa(DDCA) By Mtanzania Digital March 4, 2021 0 1146 FacebookTwitterPinterestWhatsApp Waziri wa Maji, Jumaa Aweso akizungumza jijini Dar es Salaam leo Machi 3, 2021 wakati wa mkutano na wafanyakazi wa Wakala wa Uchimbaji Visima na Ujenzi wa mabwawa (DDCA) wakati wa ziara yake ya kikazi katika ofisi za Wakala wa Maji na usafi wa mazingira vijijini (RUWASA).Kulia ni Meneja wa Uchimbaji, Peter Mdalangwila na Mkuu wa Chuo cha Maji, Dk Adam Karia. Waziri wa Maji, Jumaa Aweso akikagua mitambo ya uchimbaji visima wakati wa ziara yake katika Wakala wa Uchimbaji Visima na Ujenzi wa mabwawa (DDCA) kabla ya kuzungumza na wafanyakazi wa Wakala wa Maji na usafiri wa mazingira vijijini (RUWASA). - Advertisement - Share FacebookTwitterPinterestWhatsApp Previous articleAweso atembelea wakala wa Visima na Mabwawa(DDCA)Next articleYanga Princess, Simba Queens mechi ya kibabe Mtanzania Digitalhttp://mtanzania.co.tz/ Related Articles Elimu na Teknolojia Mwenyekiti UWT Njombe atunukiwa Shahada ya Uzamivu Biashara na Uchumi Serikali yaahidi ushirikiano na sekta binafsi, kutatua changamoto Afya na Jamii Waziri Aweso anadi miradi ya maji Korea LEAVE A REPLY Cancel reply Comment: Please enter your comment! Name:* Please enter your name here Email:* You have entered an incorrect email address! Please enter your email address here Website: Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Δ Stay Connected90,904FansLike214,997FollowersFollow592,000SubscribersSubscribe Latest Articles Elimu na Teknolojia Mwenyekiti UWT Njombe atunukiwa Shahada ya Uzamivu Biashara na Uchumi Serikali yaahidi ushirikiano na sekta binafsi, kutatua changamoto Afya na Jamii Waziri Aweso anadi miradi ya maji Korea Afya na Jamii ‘Vifo magonjwa yasiyoambukiza vyapunguza umri wa kuishi’ Afya na Jamii THRDC yasisitiza mazingira salama kwa watetezi wa haki za watu wenye ulemavu Load more