24.5 C
Dar es Salaam
Thursday, May 23, 2024

Contact us: [email protected]

MASTAA WAUNGANA KUPINGA UTUMWA LIBYA

Na SWAGGAZ RIPOTA

WAKALI wa Bongo Fleva, Vannesa Mdee, Dayna Nyange, Chege Chigunda, Harmonize, Lady Jay Dee, Aslay, Wolper  na wengine wengi wameungana na mastaa weusi kote dunia kupiga biashara ya utumwa inayofanyika nchini, Libya.

Biashara hiyo haramu iliyogundulika mapema wiki hii imefanya mastaa mbalimbali wa burudani kulaani vikali vitendo ya utumwa  wanavyofanyiwa waafrika nchini Libya wanaotaka kuingia bara la Ulaya.

Mbali na mastaa hao wa Bongo, wasanii kama Rick Ross, P Didy, Peter wa P Square, T.I, Chris Brown, Omotola Jalade, Tyrese, Bishop Jakes, Davido, Wizkid na Banky W.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles