26.7 C
Dar es Salaam
Monday, June 24, 2024

Contact us: [email protected]

Makalla atumbuliwa, Homera achukua nafasi yake

Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

Rais Dk. John Magufuli, ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Amos Makalla na badala yake amemteua Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Juma Homera kushika nafasi yake.

Taarifa kutoka Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu iliyotolewa leo Mei 14, imesema uteuzi wa Homera unaanza leo.

Aidha taarifa hiyo imesema uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru utafanyika hapo baadaye.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
588,000SubscribersSubscribe

Latest Articles