21.9 C
Dar es Salaam
Monday, August 15, 2022

Bashe : Wingi wa vibali ni kikwazo kwa wawekezaji

Arodia Peter, Dodoma

Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM) amesema kuwepo kwa utitiri wa vibali vya biashara kwamba unawakwaza wawekezaji wanaoanzisha biashara.

Akichangia mjadala wa bajeti ya hotuba ya Wizara ya Viwanda na Biashara bungeni leo Mei 14, amesema kuna mlolongo mkubwa wa utoaji vibali kutoka taasisi mbalimbali za Serikali, hivyo ameshauri uwekwe mfumo wa taasisi hizo zinazokusanya tozo mbalimbali kuwa eneo moja ili kurahisisha utoaji wa vibali hivyo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
198,719FollowersFollow
550,000SubscribersSubscribe

Latest Articles