30.1 C
Dar es Salaam
Saturday, June 15, 2024

Contact us: [email protected]

Mahakama yatupilia mbali kesi ya Bavicha

bavicha

Mahakama imefuta kesi iliyokuwa inawakabili vijana saba wa Chama cha Chemokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya kuchapisha na kutangaza matokeo ya uchaguzi yasiyo sahihi wakati wa uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015.

Hii imetokea leo baada ya upande wa Mashitaka kuliondoa shauri hilo Mahakamani kwa mujibu wa sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai cha 91(1).

Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA) Julius Mwita amesema kuwa washitakiwa wote waliokuwa wanahusishwa na kesi hiyo wameachiwa huru.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
588,000SubscribersSubscribe

Latest Articles