23.4 C
Dar es Salaam
Saturday, April 27, 2024

Contact us: [email protected]

Magufuli ateua makatibu tawala

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

RAIS Dk. John Magufuli, ameteua makatibu tawala wa wilaya huku sura mpya za vijana zikiibuka katika uteuzi huo.

Hatua hiyo inaelekea kukamilisha safu za uteuzi  kwa kubakisha wakurugenzi watendaji wa halmashauri nchini.

Taarifa iliyotolewa jana   na  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora,   Angellah Kairuki.

Aliwataja walioteuliwa  kwa Mkoa wa Arusha  kuwa ni David Mwakiposa (Arusha), Adam H. Mzee (Arumeru), Abas Kayanda (Karatu), Amos Siyantemi (Monduli), Lamuel Kileo (Ngorongoro) na Toba Nguvila (Longido).

Dar es Salaam

Edward Mpogoro (Ilala), Omary Mhando (Kigamboni), Mtela Mwampamba (Ubungo), Hashimu Komba (Temeke)    na Gifti Msuya (Konondoni).

Dodoma

Kasilda Mlimila (Bahi), Athanas Kubuyanja (Mpwapwa), Juliana Kilasara (Chamwino), Audiphace Mushi (Kongwa), Winnie Kijazi (Kondoa), Jasinta Mboneko (Dodoma),  Ally Nyakia (Chemba.

Geita

Thomas Dime (Geita), Paul Cheyo (Bukombe), Elias Makory (Chato), Reuben Mwelezi (Nyang’wale),   Christopher Bahali (Mbogwe).

Iringa

Allan Mwela (Mufindi), Joseph Chitika (Iringa) na Yussuph Msawanga (Kilolo).

Katavi

Ephras Tenganamba (Mlele), Mahija Nyembo (Mpanda na Mwashitete Geogrey (Tanganyika).

Kagera

Gread Ndyamukana (Bukoba), Joel Mwakabibi (Biharamulo), Josephat Tibaijuka (Ngara), Mwakasyege Richard (Misenyi), Weja Ng’olo (Karangwe)   na Haji Godigodi (Kyerwa).

Kigoma

Muguha Muguha (Kasulu), Kwame Daftari (Kigoma), Ayubu Sebabili (Kibondo), Zainab Marango (Uvinza),  Peter Masindi (Buhingwe).

Kilimanjaro

Heri James (Hai), Abubakar Assenga (Rombo), Mabenga Magonera (Same), Yusufu Kasuka (Mwanga na Leonard Maufi (Moshi).

Lindi

Thomas Safari (Lindi), Lameck Lusesa (Liwale), Athanas Hongoli (Kilwa), Husna Sekiboko (Nachingwea) na  Twaha Mpembenwe (Ruangwa).

Manyara

Ndaki Mhuli (Kiteto), Zewena Omary (Simanjiro), Mkumbo Barnarbas (Hanang’), Cade Mshamu (Babati) na Samuel Gunzar (Mbulu).

Mara

Justin Manko (Musoma), Masalu Kisalika (Bunda), John Mahinya (Tarime), Cosmas Qamar (Serengeti) Mirumbe Daud (Rorya) na Credo Lugalila (Butiama).

Mbeya

Anold Mkwawa (Mbeya), Moses Mashaka (Rungwe), Ezekia Kilemile (Mbarali), Sostenes Mayoka (Chunya), Godfrey Kawacha (Kyela).

Morogoro

Alfred Shayo (Morogoro), Michael Maganga (Mvomero), Stanlaus Nyanga (Kilosa), Linno Mwageni (Kilombero), Anraham Mwaikwila (Ulanga ) na Adam Bibangamba (Gairo).

Mtwara

Teoford Ndomba (Mtwara), Benaya Kapinga (Masasi), Azizi Fakil (Tandahimba), Newala (wazi), Michael Matomola (Nanyumbu).

Mwanza

Kazeri Japhet (Misungwi), Solomon Ngilule (Magu), Andrea Ng’hwani (Kwimba), Allan Muhina (Sengerema), Yonas Alfred (Nyamagana), Focus Majumbi (Ukerewe) na Tryphone Mkorokoti (Ilemela).

Njombe

Joseph Chota (Njombe), Makete (wazi), Stephen Ulaya (Ludewa) na Edward Manga (Wanging’ombe).

Pwani

Erica Yegella (Bagamoyo), Sozi Ngale (Kibaha), Kisarawe (wazi), Gilbert Sandagila (Mafia), Severine Laika (Mkuranga) na Maria Katemana (Rufiji).

Rukwa

Festo Chonya (Nkasi), Christina Nzera (Sumbawanga), Juma Seph (Kalambo).

Ruvuma

Aden Nchimbi (Namtumbo), Gilbert Sinya (Mbinga), Ghaibu Lingo (Tunduru), Pendo Daniel (Songea) na Richard Mwambe (Nyasa).

Simiyu

Albert Rutaihwa (Bariadi), Rutaremwa Rutagumirwa (Maswa), Chele Ndaki (Meatu), Helman Tesha (Itilima) na Sebastian Masanja (Busega).

Shinyanga

Timith Ndaya (Kahama), Shadrack Kengese (Kishapu), Boniface Chambi (Shinyanga).

Singida

Pius Sangoma (Iramba), Deusdedith Duncum (Manyoni), Wilson Shimo (Singida), Flora Yongolo (Ikungi) na Omar Kipanga (Mkalama).

Songwe

Johari Samizi (Songwe), Mary Marco (Ileje), Tusibitege Tengeta (Mbozi) na Mathias Felix (Momba).

Tabora

Sweetbert Nkuba (Tabora), Moses Pesha (Uyui), Paschal Byemelwa (Urambo), Godslove Kawiche (Igunga), Onesmo Kisoka (Nzega), Renatus Mahimbali (Sikonge) na Jones Likuda (Kaliua).

Tanga

Veronica Kinyemi (Lushoto), Maelagrace Kallega (Korongwe), John Mahali (Handeni), Faiza Salim (Tanga), Dessderia Haule (Muheza), Ebene Mabuga (Pangani), Joseph Sura (Mkinga)   Philis Nyimbi (Kilindi)

Waziri alisema makatibu tawala hao wapya ukiacha wale wanaoendelea na nyadhifa zao, wametakiwa kufika Utumishi wakiwa na wasifu   na nakala za vyeti vyao.

 

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles