25.8 C
Dar es Salaam
Tuesday, April 16, 2024

Contact us: [email protected]

Machaguo Spesho Meridianbet  Yenye ODDS Kubwa Kombe la Dunia

Ile Michuano mikubwa kwenye ulimwengu wa Soka dunia inaanza kutimua vumbi Novemba 20/2022, ambapo mwenyeji Qatar atacheza mchezo wa ufunguzi dhidi ya Equador kwenye Kundi A, lenye miamba wengine kama Senegal na Uholanzi. Haya hapa machaguo spesho kwenye mechi hizi.

Itakuwaje pale ambapo timu unayoishabikia itapata matokeo mazuri, huku na wewe ukipata matokeo mazuri kwenye mkeka wako uliosheheni machaguo spesho kutoka meridianbet, siku yako itakuwa poa sana. Usikubali kuharibu siku yako, Beti sasa na Meridianbet.

 

Mechi ya Ufunguzi Kombe la Dunia itawakutanisha miamba kabisa Qatar dhidi ya Equador miamba ya Amerika ya Kusini kwenye ulimwengu wa soka la vipaji. Machaguo spesho yapo ya aina nyingi unaweza kuchagua timu gani itakuwa ya mwisho kufunga, au uwiano wa ushindi wa mwisho utakuaje mfano ukisema matokeo ya mwisho ni 1-1 ina Odds yake kubwa sana. Beti sasa.

Lakini pia ukiona inafaa Zaidi unaweza kumchangua Bingwa wako kabisa wa kombe la dunia, unaweza kumchagua pia mfungaji bora wako wa michuano hiyo pamoja na timu zako nne zitakazotinga hatua ya nusu fainali. Machaguo Spesho yapo kwaajili yako. Beti na Mabingwa uwe Bingwa.

Mechi zinazofuata sasa, ni hatari na moto wa kuotea mbali unawaza nini kitatokea kwa Senegal isiyokuwa na Sadio Mane ndani ya uwanja, tulia hilo jibu lako unaweza kuliweka kwenye mkeka wako uliojaa odds kubwa za Machaguo spesho ya Meridianbet.

Ni Senegal atakayekipiga dhidi ya Uholanzi, Machaguo kwenye mechi hii yapo hivi, Senegal au Uholanzi itakuwa timu ya mwisho kupata goli au Senegal atashinda kwa utofauti wa goli moja au na Zaidi. Lakini unaweza ukatabiri ni mchezaji gani atafunga goli na yupi atachukua ufungaji bora. Beti hapa.

Timu inayozungumzwa sana karibia na kila mtu, Uingereza itashuka uwanjani kucheza dhidi ya Iran, ukichagua Machaguo Spesho utakutana na Odds kubwa zaidi na zenye nafasi rahisi za ushindi. Uingereza atashinda au atafungwa, na kama atafungwa atafungwa goli ngapi? Timu gani itakuwa ya kwanza kufunga nan ani atafunga goli la mwisho. Ukiwa makini tu hapa unaweza kujinyakulia mkwanja wa kutosha.

Novemba 21 ni mapema sana mida ya saa4 usiku kwa saa za Tanzania, Marekani atakuwa uwanjani huko Qatar kucheza na Wales, ni vita isiyotumia silaha bali silaha moja tu ni mpira ndio utapigwa wakati kila timu ikijaribu kutafuta heshimu ya nchi yake. Weka Heshima yako mtaani ukibeti na Meridianbet kisha chaguoa Machaguo spesho ya Kombe la Dunia. Unaweza kutabiri mpaka idadi ya kadi za njano na nyekundu zitakuwa ngapi.

Mbali na hayo, Meridianbet wana Promosheni chungu nzima, ukibeti kwa kitochi kwa dau la kuaznia TZS 250/= pekee Piga *149*10# ili kuweka mkeka wako. Pia unaweza kushinda TV ya Inchi 50 Mpyaa kabisa!!!!

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles