22.5 C
Dar es Salaam
Friday, June 21, 2024

Contact us: [email protected]

Lupita ampongeza mpenzi wake wa zamani

lupitaNA BADI MCHOMOLO

NYOTA wa filamu nchini Kenya, Lupita Nyong’o, amemtumia salamu za pongezi mpenzi wake wa zamani, Alex Konstantara kwa kuwa anatarajiwa kuitwa baba.

Awali Konstantara alikuwa na uhusiano na Lupita, lakini waliachana kabla hawajapata mtoto na Alex akaamua kufunga ndoa na Lizz Njagah.

“Ni hatua mojawapo ya maisha ya kukuza kizazi, nakutakia kila la heri upate mtoto salama na mwenye afya njema,” aliandika Lupita baada ya mpenzi wake huyo kuweka wazi kwamba anatarajia mtoto hivi karibuni.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
588,000SubscribersSubscribe

Latest Articles