33.9 C
Dar es Salaam
Tuesday, February 27, 2024

Contact us: [email protected]

Ligi ya mabingwa kupendezeshwa zaidi na Meridianbet

Hii ni wiki ya kibingwa kwako wewe mteja wa Meridianbet!

Michezo ya Ligi ya Mabingwa – UEFA na Europa, EPL na Eredivisie kuendelea kutimua vumbi wiki hii. Hii ni fursa ya kutengeneza faida kupitia Odds kubwa zinazopatikana Meridianbet pekee!

Jumanne hii kwenye EPL ni Leeds United vs Southampton. Timu zote zilikosa alama 3 kwenye michezo iliyopita. Hali itakuwaje Jumanne hii? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.30 kwa Leeds United.

Kunako UEFA Champions League, Lazio atapambana na Bayern Munich. Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa wanakibarua cha kutetea ubingwa wao msimu huu. Kupitia Meridianbet, tumekuwekea Odds ya 1.73 kwa Bayern.

Jumatano tutaelekea kule nchini Uholanzi ambapo Groningen atachuana na Feyenoord. Pointi 3 ndio kitu cha muhimu zaidi kwa timu hizi kwenye mchezo huu. Tumekuwekea Odds ya 2.25 kupitia Meridianbet.

Bila shaka macho ya wengi yatakuwa kule Italia ambapo Atalanta uso kwa uso na Real Madrid. Huu ni msimu ambao timu hizi zinaendelea kujitutumua kwenye ligi zao – La Liga na Serie A.

Michezo yao ya mwisho kwenye Ligi zao, Atalanta aliwalaza na viatu Napoli kwa ushindi wa 4-2 wakati ambapo Madrid waliwalaza Valladolid kwa matokeo ya 1-0.

Kwenye UEFA Champions League kupitia Meridianbet, Madrid amepatiwa Odds ya 2.55.

Kunako Ligi ya Europa Alhamisi hii ni Arsenal vs Benfica. Soka la Uingereza dhidi ya soka la Ureno. Hapatoshii!! Nani atajiwekea nafasi ya kufuzu hatua ya 16 bora mapema? Meridianbet tumekusogezea Odds ya 2.00 kwa Arsenal.

Villareal vs Salzburg ni mtanange mwingine utakaoipamba Alhamisi yako. Meridianbet tumekuweka Odds ya 2.05 kwa Villareal.

Imalize wiki yako kwa mchezo kati ya Man United vs Real Sociedad. Baada ya United kushinda 4-0 kwenye mchezo wa awali, sasa wanahamia Old Trafford. Matokeo ya ushindi au sare yatawatosha United kutinga hatua ya 16 bora.

Kupitia Meridianbet, unaweza kuifuata Odds ya 2.00 waliyopatiwa United.

Meridianbet, Nyumba yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
583,000SubscribersSubscribe

Latest Articles