24.2 C
Dar es Salaam
Monday, April 15, 2024

Contact us: [email protected]

LADY JAY DEE ATIMKIA TAURUS MUSIK

Na CHRISTOPHER MSEKENA-DAR ES SALAAM


MSANII nyota wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jay Dee’, amethibitisha hivi sasa hafanyi tena kazi na chini ya uongozi wa Rockstar 4000, lebo inayomilikiwa na Meneja wa Mwanamuziki Ali Kiba, Seven Mosha.

Staa huyo wa singo ya Yahaya, amesema mara yake ya kwanza kusaini na lebo ilikuwa mwaka 2001, ambapo alifanikiwa kutoa albamu mbili (Machozi, Binti) na hakuwahi kusaini tena na lebo yoyote zaidi ya kushirikiana kufanya kazi na watu mpaka hivi karibuni aliposaini na lebo ya Taurus Musik ya Kenya.

“Nawashukuru sana kwa mchango wao mkubwa katika kuniendeleza na kunipa moyo, ninapoufunga mwaka 2017, naufunga kwa neema ya kipekee kwani kwa mara ya pili nimesaini na lebo ya Taurus Musik, hivyo natarajia mambo makubwa zaidi ya hapo nyuma,” alisema Lady Jay Dee.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles