24.2 C
Dar es Salaam
Sunday, May 19, 2024

Contact us: [email protected]

Kylie Minogue achumbiwa

minogueLONDON, ENGLAND

MWANAMUZIKI wa nchini Marekani, Kylie Minogue (47), ametangaza kwamba yeye ni mchumba wa nyota wa filamu wa nchini Uingereza, Joshua Sasse.

Baada ya wiki kadhaa za uvumi wa kuwa na uhusiano na Sasse, msanii huyo ameamua kuweka wazi kupitia gazeti la Daily Telegraph la nchini Uingereza kwamba tayari amechumbiwa na kijana huyo.

Inadaiwa huenda nyota huyo wa filamu alianzisha mjadala wa uchumba na msanii huyo tangu mwaka jana wakati wa Sikukuu ya Krismasi.

Siku chache zilizopita katika tuzo ya NME, Kylie alionekana akiwa amevalia kipande kikubwa cha pete ya almasi. Wawili hao walikutana mwaka uliopita wakati Joshua alipokuwa akicheza filamu ya ucheshi ya Gallavant.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles