24.3 C
Dar es Salaam
Sunday, October 17, 2021

Karrueche amuota Chris Brown

karrueche na BrownNEW YORK, MAREKANI

ALIYEKUWA mpenzi wa msanii wa RnB, Chris Brown, Karrueche Tran, amedai kwamba muda mwingi anamuota msanii huyu akiwa anaomba radhi.

Akizungumza na Hollywoodlife.com, Karrueche alisema: “Nimekuwa nikimuota mara kwa mara, lakini haimaanishi kama kuna mpango wowote wa kurudiana, kwa upande wangu sina mpango huo hata kama akija kuniomba radhi.

“Katika ndoto zangu ninamuona akiwa ananiomba radhi na mimi nakataa, kwa sasa naweza kuwasiliana naye kawaida,” alisema Karrueche.

Hata hivyo, baada ya wawili hao kuachana, Karrueche alisema kwamba bado anampenda msanii huyo na kama akijisikia kurudi kwake atampokea.

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
161,952FollowersFollow
521,000SubscribersSubscribe

Latest Articles