24.2 C
Dar es Salaam
Tuesday, March 28, 2023

Contact us: [email protected]

Kumbe Janet Jackson alikuwa na mtoto?

janet-na-debargeNEW YORK, MAREKANI

MUME wa zamani wa msanii wa muziki nchini Marekani, Janet Jackson, James DeBarge, amedai kushangazwa na Janet kumkana mtoto wao wa kike waliyempata wakati walipokuwa mke na mume miaka ya 1984.

Wawili hao walifunga ndoa 1984 na waliachana mwaka mmoja baadaye na Janet alikuwa akieleza kwamba ujauzito alionao sasa ni wa kwanza na hana mtoto mwingine, jambo linalopingwa na mume wake huyo wa zamani.

“Nimechoka kusikia habari za Janet kumkana binti yetu, lakini anaujua ukweli kuhusu binti yetu na nashangazwa kwa nini anamkana,” alieleza DeBarge.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
211,222FollowersFollow
564,000SubscribersSubscribe

Latest Articles