26.7 C
Dar es Salaam
Saturday, February 24, 2024

Contact us: [email protected]

Kourtney anaswa na mpenzi wa mdogo wake

Kourtney KardashianLOS ANGELES, MAREKANI

DADA wa Kim Kardashian, Kourtney, amejikuta akiingia katika mgogoro na mdogo wake, Khloe Kardashian, kutokana na kukutwa mara kwa mara na mpenzi wa mdogo wake huyo.

Awali Khloe alikuwa na uhusiano na msanii wa hip hop nchini Marekani, French Montana, lakini baada ya kuachana msanii huyo ameonekana mara kwa mara akiwa karibu na shemeji yake huyo.

Hata hivyo kutokana na picha zinazosambaa kwenye mitandao mbalimbali, Khloe hajaongea lolote, lakini inasemekana kwamba ndugu hao kwa sasa hawana uhusiano mzuri kutokana na jambo hilo kwa kuwa Khloe anaamini kuwa dada huyo alisababisha wawili hao kuachana.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
583,000SubscribersSubscribe

Latest Articles