27.4 C
Dar es Salaam
Thursday, December 9, 2021

Klabu Bingwa judo Afrika Mashariki yanukia

Sharifa Mmasi,Mtanzania Digital

MICHUANO ya Klabu Bingwa ya  judo ya Majeshi Afrika Mashariki, yanatarajiwa  kufanyika  Desemba 6-12 mwaka huu mjini Moshi mkoani Kilimanjaro.

Akizungumza na Mtanzania Digital leo Oktoba 21, Katibu wa Chama cha Judo Tanzania (JATA), Innocent Malya, amesema tayari nchi zote zina taarifa kuelekea mashindano hayo ambazo ni Kenya, Uganda, Rwanda, Ethiopia na Burundi.

Malya amebainisha kuwa hadi sasa hawajapata mdhamini hivyo, wanafungua milango kwa wadau kujitokeza kuwaunga mkono katika kufanikisha michuano hiyo.

“Baada ya kumalizika kwa mashindano ya Klabu Bingwa sasa tunajiandaa na mtanange wa Klabu Bingwa kwa Majeshi, nitoe wito kwa wadau kujitokeza kuwaunga mkono ili tufanikishe kumpata bingwa,” amesema.

- Advertisement -
bestbettingafrica

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
168,659FollowersFollow
527,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
10Bet

Latest Articles