26.5 C
Dar es Salaam
Wednesday, January 26, 2022

Khloe Kardashian ammwaga James Harden

Kourtney Kardashian and Khloe Kardashian show Mason around a new schoolNEW YORK, MAREKANI

MWANAMITINDO Khloe Kardashian, ameweka wazi kuachana na mpenzi wake, James Harden ambaye ni nyota wa kikapu wa timu ya Houston Rockets ambayo inashiriki Ligi Kuu ya NBA nchini Marekani.

Uhusiano wa wawili hao ulianza kuvunjika Novemba 8, baada ya hapo hadi sasa hawajaonekana pamoja.

Hata hivyo, Khloe ameweka wazi kwamba ataendelea kumuheshimu na kutoka naye kama rafiki wa kawaida.

“Kumekuwa na mambo mengi ambayo yalikuwa yanatokea kwenye uhusiano wetu, ila kwa sasa tunaweza kuwa marafiki kama walivyo watu wengine,” alisema Khloe.

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
176,803FollowersFollow
531,000SubscribersSubscribe

Latest Articles