23.9 C
Dar es Salaam
Thursday, September 29, 2022

Kardashian amtaja Kanye

LOS ANGELES, Marekani

MKE wa zamani wa Kanye West, Kim Kardashian, amemtaja staa huyo kuwa ndiye rapa bora wa muda wote kwenye soko la muziki duniani.

Wawili hao wameshaachana lakini kwa muda sasa zimekuwapo picha zinazowaonesha wakiwa pamoja, hivyo kuibua tetesi kuwa wameamua ‘kuifufua’ ndoa yao.

Akimzungumzia Kanye, Kim amesema: “Niliolewa na rapa bora wa muda wote. Si hivyo tu, bali ndiye mtu mweusi mwenye mkwanja mrefu zaidi hapa Marekani.”Kabla ya ndoa yao kuvunjia, tayari wawili hao walishabahatika kupata watoto wanne.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
202,298FollowersFollow
554,000SubscribersSubscribe

Latest Articles