Johari awashangaa marafiki zake

0
1380

johariGNA RHOBI CHACHA
MWIGIZAJI wa Bongo Movie, Blandina Chagula ‘Johari’, ameshangaza kutokufahamu uhusiano wa urafiki na watu maarufu baada ya kudai anashangaa kuwa na marafiki wengi kwa sasa.
Msanii huyo alifikia hatua hiyo baada ya kusema kuwa kabla ya kuingia kwenye uigizaji hakuwa na marafiki lakini baada ya kuingia katika fani hiyo na kuwa maarufu amekuwa na idadi kubwa ya marafiki.
“Najulikana kwa sasa na naamini ustaa wangu na kazi zangu nilizofanya kwa umaridadi ndio unaonipa marafiki nje na ndani ya Tanzania,” alimaliza Johari.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here