23 C
Dar es Salaam
Wednesday, September 18, 2024

Contact us: [email protected]

Peter Bunor afariki dunia Nigeria

brunoBADI MCHOMOLO NA MTANDAO
NYOTA wa filamu nchini Nigeria, Peter Bunor, amefariki dunia Mei mosi mwaka huu baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa kiharusi.
Kupitia mitandao ya kijamii, mtoto wa marehemu Peter Bunor Jnr, alithibitisha kifo hicho kwa kuandika: “Baba yangu, rafiki yangu, mwalimu wangu amefariki dunia leo.”
Bunor alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa huo kwa muda mrefu, hata hivyo aliwahi kusema kuwa marafiki wake wa karibu wamemtelekeza.
Msanii huyo mwaka 2010 alipongezwa na kituo cha television nchini humo kutokana na kushiriki katika filamu kwa miaka 30 akiwa katika ubora wake.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles