27.7 C
Dar es Salaam
Saturday, June 15, 2024

Contact us: [email protected]

Jishindie Mkwanja wa 800,000/= TZS Kutoka Expanse Na Meridianbet

Promosheni ya Expanse Kasino

Kama kawaida wakali wa kasino BOMBA za mtandaoni kampuni ya Meridianbet kwa kushirikiana na Expanse studio wanakuletea mpaka kiganjani mwako Promosheni ya Expanse kasino itakayoanza kutimua vumbi Disemba Tarehe 19, 2022 mpaka Disemba 25. 2022, uwanja wa Promosheni hii ni tovuti ya www.meridianbet.co.tz  pamoja APP ya simu.

Hii sio ya kukosa kabisa kwani Meridianbet inakupa nafasi ya kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwania mgao wa TZS 800,000/= kwenye Promosheni ya Expanse kasino, njia ni rahisi ya kushiriki cha kufanya fuata vigezo vifuatavyo.

Namna ya Kushiriki Promosheni ya Expanse Kasino

 • Ili kushiriki Promosheni ya Expanse kasino hakikisha umesajiliwa kwenye APP na tovuti ya www.meridianbet.co.tz
 • Wakati wa promosheni hii, wachezaji (washiriki) watashindana kulingana na idadi ya mizunguko inayochezwa kwenye michezo ya mtoa huduma ya Expanse.
 • N.B: Nafasi ya mchezaji itaonekana masaa 24 baada ya Promosheni kukamilika.
 • Ni muhimu kuzungusha mara 30 bonasi yako ya kasino uliyopewa kwenye michezo ya mtoa huduma wa Expanse.
 • Ushindi wa juu kutolewa ni TZS 5OO,000/=
 • Meridianbet ina haki ya kubadili sheria au kusitisha Promosheni wakati wowote wa mashindano.

Mchanganuo wa Zawadi kwa Washindi

Zawadi kwa washindi watakaopatikana mwishoni mwa Promosheni ya Expanse kasino, zitatolewa kulingana na nafasi zao kwa mshindi wa kwanza hadi wa tano.

 1. Nafasi ya tano atapata 100,000/= TZS
 2. Nafasi ya nne- 100,000/= TZS
 3. Nafasi ya tatu- 150,000/= TZS
 4. Nafasi ya pili- 200,000/= TZS
 5. Nafasi ya kwanza- 250,000/= TZS

Unasubiri nini kuanza safari yako ya ushindi kibingwa!! Ni Meridianbet pekee inakuhakikishia ushindi kwa kukupa Bonasi, Odds kubwa na Promosheni za kipekee. Sio hivyo tu, Kasino ya mtandani ya Meridianbet yenye shindano la Expanse Kasino inakupa nafasi ya kushinda mihela mingi. Jiunge sasa kupitia  https://www.meridianbet.co.tz na upate bonasi ya bure ya kuanzia.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
588,000SubscribersSubscribe

Latest Articles