25.5 C
Dar es Salaam
Saturday, May 18, 2024

Contact us: [email protected]

Jennifer Mgendi apania Tamasha la Pasaka

mgendiNA MWANDISHI WETU

MWIMBAJI na Msanii mahiri wa Filamu Tanzania, Jennifer Mgendi, amelipania Tamasha la Pasaka linalotarajiwa kuanza Machi 26-28 katika mikoa ya Geita, Mwanza na Kahama.

Mgendi alisema analisubiri kwa hamu Tamasha hilo, ambalo pia atalitumia kutoa albamu yake mpya ya ‘Nyuma ya Mlima’.

Anazitaja nyimbo zilizoko kwenye albamu hiyo ni pamoja na ‘Nyuma ya Mlima’, ‘Naomba Uzima’, ‘Bwana ni Ebenezer’, ‘Nawashukuru adui’ na ‘Nitafika lini’ ambao ni Remix.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles