26.1 C
Dar es Salaam
Friday, January 3, 2025

Contact us: info@mtanzania.co.tz

JAPAN: KOREA KASKAZINI BADO NI HATARI

TOKYO, JAPAN


SERIKALI ya Japan imesema Korea Kaskazini bado ni tishio kubwa katika eneo hilo.

Maelezo hayo yamo katika taarifa ya mapitio ya ulinzi ya kila mwaka tangu hali ya wasiwasi kupungua katika rasi ya Korea.

Waraka huo wa Japan wa ulinzi wa mwaka 2018 pia umeshambulia kuongezeka uwezo wa kijeshi wa China.

Ulisema ongezeko hilo linaleta wasiwasi mkubwa wa usalama katika kanda hiyo pamoja na jamii ya kimataifa ikiwamo   Japan.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
593,000SubscribersSubscribe

Latest Articles