26.5 C
Dar es Salaam
Sunday, July 21, 2024

Contact us: [email protected]

Guardiola kutimka City

Manchester Uingereza

KOCHA Pep Guardiola ataikacha Manchester City pindi tu mkataba wake utakapokwisha mwishoni mwa msimu ujao (2022-23).

Kwa mujibu wa taarifa, Mhispania huyo akaa nje ya kazi na kisha kuhamia kwenye majukumu ya kunoa timu ya taifa. Akihojiwa na kituo cha televisheni cha Globo, Guardiola anasema: “Timu ya taifa, ndiyo kituo kinachofuata ikiwa itapatikana nafasi.

Natakiwa kupumzika baada ya miaka saba (ya kufanya kazi Man City)…” Ni kwa maana hiyo, Guardiola mwenye umri wa miaka 50 anapaswa kutumia misimu miwili aliyobakiza kuipa Man City taji la Ligi ya Mabingwa ambalo ndilo lililofanya mabosi wa klabu hiyo kumwajiri.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles