25 C
Dar es Salaam
Wednesday, April 24, 2024

Contact us: [email protected]

Flavian Matata apata dili la ubalozi wa utalii Marekani

Flaviana amatataaNA TUNU NASSOR

MWANAMITINDO wa Tanzania anayeishi Jiji la New York, Marekani, Flavian Matata, ameteuliwa kuwa balozi wa utalii nchini Marekani.

Uteuzi huo wa Wizara ya Maliasili na Utalii chini ya Bodi ya Utalii nchini umekuja baada ya Rais Jakaya Kikwete kuzindua tangazo la vivutio vya utalii litalokuwa likirushwa na vyombo vya habari vya kimataifa ambavyo ni Shirika la Habari la Uingereza (BBC) pamoja na CNN.

Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Adelhelm Meru,
alisema baada ya kupata tangazo la kimataifa wameamua kupata pia balozi atakayesimamia shughuli za utalii
nchini Marekani.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles