26.6 C
Dar es Salaam
Sunday, April 14, 2024

Contact us: [email protected]

Baby Jay: Msinisumbue nimeolewa

babyNA SHARIFA MMASI

MKALI wa muziki wa Bongo Fleva kutoka Visiwani Zanzibar, Jamila Abdallah ‘Baby Jay’, amewataka wanaume wakware wanaomsumbua wakimtaka kimapenzi waache tabia hiyo kwa kuwa ameolewa.

Mwanadada huyo alisema muda mwingi amekuwa akipata usumbufu wa simu kutoka kwa watu asiowajua wakimtaka kimapenzi.

“Siwezi kukwepa kutongozwa, lakini usumbufu umekuwa mkubwa, najua wanaofanya hivyo wananifahamu, napenda kupitia hapa niwaombe waache usumbufu mimi nimeolewa nina mume wangu,’’ alieleza
kwa masikitiko Baby Jay, ambaye kwa sasa anakumbwa na changamoto za mwanamume

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles