26.9 C
Dar es Salaam
Monday, December 9, 2024

Contact us: [email protected]

EPL, LALIGA, BUNDESLIGA na SERIE A mambo ni bambam

Tandaza Jamvi Lako na Meridianbet!

Baada ya mapumziko ya wiki 2 na kupisha mashindano ya Kimataifa, Ligi mbalimbali zinaendelea wikiendi hii ikiwa ni mbio za kuelekea mwishoni mwa msimu. Viwanjani kupo hivi;

Manchester United watakua Old Trafford wakiwaalika Leicester City katika muendelezo wa EPL. United wanamachungu ya kupigwa 4-1 kwenye mchezo wa kwanza kule King Power Stadium enzi za Ole Gunnar Solskjaer, wakiwa OT jumamosi hii, The Red Devils watafanya nini? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.51 kwa United.

Erling Haaland amerejea kwenye kikosi cha Borussia Dortmund ambao pia, watakua nyumbani wakiwaalika RB Leipzig kwenye mchezo wa Bundesliga. Mvua za magoli zinatokeaga kwenye michezo kama hii, Odds ya 2.40 ipo kwa BVB ndani ya Meridianbet.

Camp Nou kumenoga, Xavi football katika ubora wake. FC Barcelona uso kwa uso na Sevilla kunako LaLiga. Mbio za ubingwa wa ligi zinaendelea kushika kasi, timu zote zikiwa zinamuwinda Real Madrid ambaye ni kinara wa ligi. Meridianbet tunaodds ya 1.47 kwa Barcelona.

Miamba ya soka la Italia kupimana ngumu kule Turin. Juventus kuwaalika mabingwa watetezi wa Serie A – Inter Milan. Pengine Dyabala anaweza kuwa na fursa ya kuzungumza na mabosi wa timu anayohusishwa nayo (Inter) baada ya kuwekwa wazi kuwa hatokuwa mchezaji wa Juve baada ya msimu huu. Yote 9, 10 ni kwamba, tunaodds ya 2.55 kwa Inter kupitia Meridianbet.

Jumatatu itatamatishwa kwa mchezo wa Crystal Palace vs Arsenal jijini London, Uingereza. Utamu wa EPL siku zote huwa ni kwenye michezo 10 ya mwisho na hapa ndio kwanza tunaanza!! Ni Vierra au Arteta atakayeondoka na ushindi baada ya dakika 90? Ifuate Odds ya 2.01 kwa The Gunners.

Bashiri Kistaarabu na Meridianbet! HAIRUHUSIWI kwa wenye umri chini ya miaka 18.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
592,000SubscribersSubscribe

Latest Articles