28 C
Dar es Salaam
Friday, February 23, 2024

Contact us: [email protected]

EPL katika fungu la 10 la mwisho kwa msimu huu

Tumia Fursa ya Odds Kubwa Kupitia Meridianbet na Uwe Bingwa!

Zikiwa imesalia michezo 10 tu kabla ya msimu huu wa EPL kumalizika, kila timu inajitutumua kuhakikisha inamaliza msimu katika nafasi nzuri. Vivyo hivyo kwenye Ligi mbalimbali barani Ulaya.

Ijumaa hii ni Newcastle vs Aston Villa pale St. James Park. Kila timu inahitaji matokeo ili kujihakikishia nafasi za usalama kwenye msimamo wa EPL msimu huu. Meridianbet tumekueweka odds ya 2.10 kwa Villa kwenye mchezo huu.

Kwenye La Liga Ijumaa hii ni Levante vs Valencia. Ushindi ndio kitu cha muhimu kwa timu zote mbili lakini kupitia meridianbet, Levante amepatiwa odds ya 2.25.

Jumamosi tutahamia pale Elland Road ambapo Leeds United watawaalika Chelsea. Profesa Marcelo Bielsa uso kwa uso na Thomas Tuchel, mgeni ambaye hajaonja shurba ya kupoteza mchezo wa EPL mpaka sasa. Je, Leeds watawaadhibu Chelsea kwa mara ya 2 msimu huu? Kupitia Meridianbet, Chelsea amepatiwa odds ya 1.83.

Everton watakuwa pale Goodison Park kuchuana na Burnley jumamosi hii. Lengo kubwa la Carlo Ancelotti ni kuipeleka Everton kwenye Ligi ya Mabingwa msimu ujao, Je atafanikiwa? Meridianbet tumekupa Odds ya 1.95 kwa Everton.

Wapenzi wa EPL macho yatakuwa pale Old Trafford Jumapili hii. Ni Manchester United vs West Ham United. Baada ya kuwaadhibu Man City wikiendi iliyopita, United watafanya tena hivyo kwa West Ham United?

Mchezo wa kwanza United walishinda lakini vijana wa David Moyes wanajambo lao msimu huu, wakiwa katika harakati za kumaliza kwenye nafasi 4 za juu, mchezo huu hautokuwa mrahisi kwa timu zote mbili. Kupitia Meridianbet, tumekupatia Odds ya 1.91.

Kule Hispania ni zamu ya Getafe vs Atletico Madrid. Vijana wa Diego Simeone “El Cholo” wanapambana kuwanyang’anya kombe majirani zao Real Madrid. Meridianbet tumeongeza thamani mchezo huu kwa Odds ya 2.10 kwa Atletico.

Jumatatu EPL itahitimishwa kwa mchezo wa Wolverhampton Wanderers vs Liverpool. Huu ni mchezo ambao utazikutanisha timu 2 zinazotaabika kwenye EPL msimu huu ikilinganishwa na ubora wao msimu uliopita. Kupitia Meridianbet, Liverpool wamepatiwa Odds ya 1.87.

Hii ni baadhi ya michezo iliyopatiwa Odds kubwa kati ya mingine mingi, tazama michezo mingine yenye Odds kubwa kupitia tovuti ya Meridianbet kwa kubofya hapa.

Meridianbet, Nyumba yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
583,000SubscribersSubscribe

Latest Articles