Tarisai Vushe aiweka wazi ‘Mighty God’

0
1283

Na CHRISTOPHER MSEKENA

KUTOKA nchini Australia, mwimbaji anayekuja kwa kasi kwenye muziki wa Injili, Tarisai Kunashe Vushe, amerudi kivingine na wimbo mpya, Mighty God alioutoa hivi karibuni.

Tarisai, amewaomba wapenzi wa muziki huo Afrika Mashariki waupokee wimbo wake, Mighty God kwa sababu umebeba ujumbe mzuri kwa watu wote na sasa unapatikana kwenye majukwaa mbalimbali ya kuuza na kusikiliza muziki.

“Nimetoa video ya wimbo wangu mpya Mighty katika chaneli yangu ya YouTube na mitandao mingine kwa unyenyekevu mkubwa naomba sapoti kwa mashabiki wa muziki wa Injili Afrika Mashariki ili huduma yangu izidi kukua na kuwabariki wengi pia mnaweza kutembelea tovuti yangu ya www.tarisaivushe.com kwa nyimbo zangu zingine,” amesema Tarisai.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here