25.2 C
Dar es Salaam
Tuesday, February 27, 2024

Contact us: [email protected]

Diamond, Shilole wapata Shavu la Malaria

Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital

RAIS Dk. Samia Suluhu amewateua Wasanii Naseeb Abdul (Diamond Platnumz), Zuwena Mohamed(Shilole) na Faraja Kotta kuwa wajumbe wa Baraza la Malaria la Kitaifa.

Wajumbe hao walitangazwa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu pamoja na Mwenyekiti wa Baraza hilo, Leodgar Tenga katika siku ya Maadhimisho ya Siku ya Malaria duniani ambayo hufanyika Aprili 25, kila mwaka Kitaifa imefanyik jijini Dar es Salaam.

Amesema Asilimia 77 ya watanzania ni vijana Dk. Samia aliwateuwa wasanii kuwa wawakilishi wa vijana kutokana na ushawishi walionao ni mkubwa katika jamii na wana flowers wengi katika mtandao ya kijamii.

“Kila mmoja akiandika sio kila homa ni malaria inawafikia milioni 15.9 ndani ya muda mchache wanakuwa wametusaidia kuelimisha,” amesema Waziri Ummy.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
583,000SubscribersSubscribe

Latest Articles