*Wengine wawili wasepa na 7,872,290*
Betika haipoi, rekodi imevunjwa kwa mara nyingine tena baada washindi watatu waliobeti na Betika! Kusepa na vibunda vya mamilioni, huku gumzo kubwa likiwa ni dereva bodaboda aliyeibuka na ushindi mnono zaidi.
Bingwa huyo wa kibabe ni Habib Juma kutoka pale katika jiji la Kitalii Arusha amejishindia kitita cha Sh 13,440,350 kutoka Betika huku akitumia dau la sh 1,000 tu.
Maana halisi hapa ni kwamba baada ya ushindi huu Juma anaweza kuwa mwajiri mpya kwa kuwa sasa ana uwezo wa kuongeza bodaboda sita na kujitanulia kipato chake kutokana na mzigo wa mamiloni aliyovuna Betika.
Mwamba wa pili ni Shaban Hayuma kutoka pande za Dodoma makao makuu ya Tanzania akijishindia sh 4,496,730 kwa dau la sh 2,000 tu.
Kama haitoshi milionea mwingine akawa Mohamed Nassor ambaye ni mfanyabiashara mdogo mdogo aliyejishindia kiasi cha Sh 3,375,560 kutoka Betika baada ya kuweka dau la sh 1,000 tu!
Kumbuka wababe hawa wote wanatunisha mifuko yao kupitia Betika! ambapo unaambiwa mpaka sasa hakuna anayejaribu kukosa kubeti nao kutokana na urahisi wa kushinda mkwanja wa kibabe.
Mtu wangu wa nguvu huna sababu ya hili likupite ingia sasa katika tovuti ya www.Betika.co.tz na ukifika hapo utakutana na orodha yenye mechi kibao kisha chagua mechi zako, weka dau lako ushinde uungane na wababe hawa watatu.
Usisite kuwasiliana nasi kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zetu zingine kutoka Betika kupitia namba 0659070700.
BETIKA SASA na USHINDE MAMILIONI KILA SIKU!